- barafu
- ------------------------------------------------------------[Swahili Word] barafu[Swahili Plural] barafu[English Word] ice[English Plural] ice[Part of Speech] noun[Class] 9/10[Derived Language] Farsi[Swahili Definition] maji yaliyo baridi na magumu kama mawe [Masomo 15]------------------------------------------------------------[Swahili Word] mashine ya barafu[Swahili Plural] mashine za barafu[English Word] refrigerator[English Plural] refrigerators[Part of Speech] noun[Class] 9/10[Related Words] mashine[Swahili Example] chupa zilikuwemo ndani ya mashine ya barafu[English Example] the bottles were in the refrigerator------------------------------------------------------------[Swahili Word] mto wa barafu[Swahili Plural] mito ya barafu[English Word] glacier[English Plural] glaciers[Part of Speech] noun[Class] 9/10[Related Words] mto------------------------------------------------------------[Swahili Word] enzi ya barafu[Swahili Plural] enzi za barafu[English Word] ice age[English Plural] ice ages[Part of Speech] noun[Class] 9/10[Dialect] recent[Related Words] enzi[Swahili Definition] kipindi kilichopita ambako hali ya hewa duniani ilikuwa baridi na sehemu kubwa ya nchi ilifunikwa na ganda nene la barafu[English Definition] a period in the past when the climate was colder and large areas were covered by thick ice sheets[Swahili Example] wakati wa enzi ya barafu miaka 10,000 iliyopita mlango wa bahari wa Bering ulikuwa kavu ukapitika kwa miguu[English Example] during the ice age 10,000 years ago the Bering Strait was dry and could be crossed by foot.------------------------------------------------------------
Swahili-english dictionary. 2013.